staa wa Muziki wa Bongo fleva @diamondplatnumz baada ya kuzuwa taharuki kwenye Mtandao wa Instagram na jumbe zake Mbali mbali ambazo Ametangaza kuwa yupo sunle na asihusishwe na Mwanamke wowote kutoka naye kimapenzi ,hatimaye jioni ya leo Diamond amerudi tena kwenye insta story yake na kudai kuwa hawezi kuwa single kamwe kwani kwa sasa anapata penzi zito Kutoka kwa mpenzi wake anaetoka kwenye visiwa vya marashi ya karafuu ,simba amewapa pole wale wote walioshadia yeye kuwa single na kudai kuwa alikuwa anatania
0 Maoni