#ETREANDIG:Baada ya Muimbaji wa Bongo fleva @hamonize_tz kutangaza kuachia collaboration yake na rapa kutoka Nchini marekani Bobshumra siku ya leo ijuma Kisha naye super star Diamond Platnumz alitangaza kuachia ngoma siku siku na tarehe Moja na #Harmonize Hatimaye #konde boy kupitia insta story yake Amerudi na kuahirisha kutoa ngoma hio Hadi Tarehe 28/1/2024
0 Maoni