Msani staa wa bongo fleva nchini Tanzania harmonize ameamua kutoa ya moyoni mwake kuusu kazi zake ambazo zilizokuwa zikisimamiwa na Lebo take ya zamani WCB Harmonize ameandika ujumbe mzito kupitia insta story yake akiwataka uongoz wake wa zamani kuweza kuirudisha stahik zake za kwenye baadhi ya nyimbo zake huku akitolea mfano wimbo wa kwangwaru kwamba Kuna watu wapiga hela na hakupat kitu ikubukwe wimbo wa kwangwaru harmonize alilmshirikisha Diamond platnumz unazaid ya watazamaji million 100 viewer
Ccc.roja_hb follow for more info
0 Maoni