☑️ Uzi wa Yanga 🇹🇿 ndio uzi pekee wa vilabu uliotumika kwenye wimbo rasmi wa AFCON 2023 itakayofanyika Ivory Coast 🇨🇮 kuanzia Januari 13 - Feb 15.
Brand ya Yanga inazidi kukua
Song: Magic System Ft Yemi Alade & Mo Ramadhani - Akwaba
Hongera Wananchi
#
0 Maoni