#ETREANDIG:Msani wa Bongo fleva Ambaye anafanya vizuri kupitia kazi zake za Muziki hapa Bongo Marioo Anatarajia kupata Mtoto kupitia Mpenzi wake Paula kajala
Taarifa hio Ameithibitsha Paula kupitia ukurasa wake wa Instagram Hata hivyo Msanii Marioo alipoulizwa kuuhusu kufunga ndoa na Mrembo huyo Amedai. swala la ndoa kwanza bado kwa sasa Anajipanga kwani wao wapo dini tofauti hivyo wanahitaji process hadi kufikia Ndoa
0 Maoni