WANANCHI SAFARI KUIFUATA MEDEAMA SC
Kikosi cha Yanga SC kimeondoka leo alfajiri kuifuata Medeama SC ya Ghana kwenye mchezo wa tatu wa Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mechi hii itapigwa Ijumaa saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania mbashara #AzamSports3HD kwa Tanzania Pekee.
(Imeandikwa na @anoth_paul)
#LigiyaMabingwaAfrika #MedeamaSC #YangaSC #YangaSafarini
0 Maoni