Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

RASMI LAVA LAVA AONDOKA WCB ACHA MAAGIZO MAZITO


 

Msanii Lavalava anatafuta hela za kuvunja mkataba wake na label ya WCB nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa mdukuzi wetu, Lavalava ameshindwa kabisa kuachia chini ndani ya record Label hiyo kwani kila mara anapo panga kuachia kazi zake zimekuwa zikizuiliwa kwa kukosa kuafikia viwango vilivyo wekwa na Wasafi.
Vile vile amesema kuwa msanii huyo anahisi kuwa usimamizi wa wasafi umekuwa ukiwapendelea wasani Zuchu na Mboso na hili limedhitika na support mabayo Zuchu na Mbosso wanapata kila wanapoachia kazi zao mpya.
Lavalava amekaa Zaidi ya miezi mitatu bila ya kuachia post yoyote katika mitandao yake ya kijamii jambo ambalo sio la kawaida miongoni mwa wasanii wa wasafi.

#LikeCommentFollowShare
#

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement