Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

YANGA WAFANYA UBAGUZI

Kitengo Cha habari na mawasiliano cha Yanga SC chini ya Ally Kamwe wamebuni jambo maalum katika mechi zao za kimataifa kwaajili ya kuongeza morali kwa wachezaji kufanya vizuri kwenye mechi pamoja na kukuza brand za wachezaji ila pia kuongeza ushawishi kwa mashabiki wao kuja uwanjani kwa wingi. Lakini kwenye hili jambo wameshindwa kubalance walianza na Max Nzengeli Day Siku ambayo wanatambulisha na Jana wametambulisha Aziz key day walitakiwa kubalance na mzawa ni kama baba unapokuwa na familia unatakiwa kuwapenda watoto wote bila kuzingatia tofauti zao,hii inaibua maswali mengi kwa wachezaji wazawa wao hawana ushawishi moja mbili wao hawafahi kuwa na Siku zao inawezekanaje wachezaji wawili wakigeni na Kuna wazawa hawajapewa thamani wachezaji wa Kitanzania ambao wengi wanafanya vizuri mfano nahodha Bakari Mwamnyeto,Ibrahim bacca,Dick Job pamoja na Mudathir Yahya ambao wote hao wanacheza katika kiwango Bora wana jisikiaje wanapo tazama hawapewi heshima Yao na viongozi wao. NB:Uongozi unawapendelea wageni,una wabagua wazawa.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement