#ETREANDIG:Ni Rasmi Msani wa singeli D voice Ametambulishwa na C.E.O #Diamondplatnumz usiku wa kuamkia leo kuwa Msani Mpya wa lebo hio #D voice Anakuwa Msani wa Saba kusainiwa kwenye lebo hio huku Akiwa Ni Msani Mwenye Umri mdogo zadi Ambaye Amesani wa kwenye lebo kubwa #Tanzania
Kila la kheli #D VOICE kwenye Safari yako ya Muziki🔥🔥🙌
0 Maoni