Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

DIAMOND PLATNUMZ APONGEZA HARMONIZE KUSHINDA TUZO TATU

#ETREANDIG: Baada ya utambulsho wa Msani Mpya #wasafi staa Muziki #Diamondplatnumz Amefunguka kuwa Anafurahi kuona Wasani Ambao walikuwepo kwenye mikono yake Wanafanya vizuri na Ambao wametoka kwenye mikono yake huko Akiwatolea Mfano #Harmonize na RAYVANY , Sipendi kujiona mm peke Yangu tu kwenye Sanaa kila kitu nafanya mm leo Hii Tunaona Rayvanny Yupo anawania Grammy #Harmonize Ameshinda Tuzo Tatu wote hao wametoka kwenye mikono Yangu Najivunia DIAMOND PLATNUMZ

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement