JINSI YA KUPIKA NDIZI ZA NYAMA YA NG'OMBE.
Mahitaji Ya Jinsi Ya Kupika Ndizi Za Nyama
1. Ndizi mbichi 10-
2. Nyama ng’ombe nusu au 1 kilo moja
3. Kitunguu maji 2
4. Nyanya 2
5. Kitunguu saumu 7
6. Tangawizi 1 kipande
7. Ndimu 2
8. Chumvi kiasi
9. Mafuta kiasi
Jinsi Ya Kupika Ndizi Za Nyama
1. Saga kitunguu thomu na tangawiz mbichi.
2. Weka nyama katika sufuria tia kijiko kimoja cha kitunguu thomu na tangawizi, chumvi na ndimu kisha chemsha hadi iive.
3. Menya ndizi ukatekate.
4. Weka mafuta katika sufuria tia kitunguu maji kilokatwakatwa ukaange kidogo tu kisha tia Nyanya uendelea kukaanga.
5. Tia tangawizi na thomu ilobakia.
6. Tia ndizi, kaanga kidogo kisha tia supu ya nyama na nyama yake.
7. Ziache ndizi ziive mpaka zikiwa tayari.
Jiunge na group letu la mafunzo ya MAPISHI kwa njia ya video ujifunze kupika.
Gharama za mafunzo ni tsh 1000 tu kwa mwezi
Masomo ni kuanzia SAA nane mchana hadi NNE usiku.
Kwa waliobize tunawatumia mafunzo na video katika inbox mwao na watakapoingia wakipata muda wanasoma kwa muda wao.
UTAJIFUNZA PIA;
🍥KUPIKA CAKE KWA MKAA
🍥VITAFUNWA MBALIMBALI
🍥PILAU
🍥BIRIAN YA KUKU
🍥VIUNGO VYA CHAKULA
🍥KUPAMBA CAKE
🍥DONUTS
🍥KAIMATI
🍥SOSI YA BIRIAN
🍥ROSTI YA MAINI
🍥SAMBUSA ZA NYAMA
🍥BAGIA ZA KUNDE
🍥MANDAZI YA NAZI
🍥MBOGA MBOGA
🍥UBUYU MTAMU
🍥CHAPATI ZA KUSUKUMA LAIN
🍥MIKATE
🍥SPONGE CAKE
🍥KUANDAA BUTTER
🍥VIBIBI
🍥SOSI YA UKWAJU
🍥VITUMBUA
🍥KARANGA ZA MAYAI
🍥WALI WA MAUA
NA MAPISHi Mengi.
MAWASILIANO 📞📞
0621481821 wassap
TUNAFUNDISHA MAPISHI KWA NJIA YA VIDEO
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA MAFUNZO YA MAPISHI NI TSH 1000 TU KWA MWEZI NA UNAFUNDISHWA MASOMO YOTE HAYO...
UNALIPIA KABLA YA KUUNGWA KWENYE GROUP ILI KUEPUSHA USUMBUFU
KWA WALIYO TAYARI KULIPIA WAJE WASSAP KWA KUBONYEZA HII LINK CHINI;
http://wa.me/+255621481821
Au 0621481821 wassap

0 Maoni