Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

🛑LIVE RAYVANNY AENDA KUMPOKEA HARMONIZE AIRPORT

#ETREANDIG: Msani #Harmonize Amemtaka Msani Mwezake @rayvanny kuja kuchukua Tuzo yake ya #AEAUSA 2023 Ambapo @harmonize_tz Tuzo hio Ameichukuwa kwa niaba ya rayvanny Huku akimtaka afike sehemu zifutazo Aidhaa afike Airport siku ya Jumatatu au Afike konde village,Tuzo hizo zimetolewa Nchini Marekani na wimbo wa Mama TETEMA umeshinda Tuzo ya Best collaboration of the Year #Maluma ft #rayvanny Hii Ni ishara nzuri kwa wawili hao baada ya kuwa na Mizozo ya hapa na pale

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement