#ETREANDIG: Mwanamuziki kutoka record label ya WASAFI #W.c.b #zuchu Ambaye anafanya vizuri kwa Sasa kwenye ngoma zake Amefunguka kulikata deal Ambalo lingemuingizia zaidii ya Tanzania shilling BILIONI 1 deal Hilo lilikuwa likuhusu kampuni Moja ya #vilevi /bia Ambapo staa huyo Amesema Ameshindwa kutia saini ili kutangaza Bidhaa hizo kutokana na Dini yake (Uislamu) haumruhusu kufanya hivyo' mbali na Hayo #Zuchu Amesema hata yeye si mtumiaji wa vitu hivyo kwani ingembidi Wakati wa kutangaza lazima atumie ilihali kwakuwa yeye si Mtumiaji wa vilevi . Amesema Zuchu
Written by @larry_tz
@Rjnewstz
0 Maoni