Michezo
Mwakinyo
Muktasar
Mwakinyo aliyewahi kuingia kwenye 20 bora ya dunia kwenye uzani wa super welter na namba moja nchini kwenye kila uzani ‘pound for pound’ ameporomoka kote na sasa ni wa pili nchini na wa 66 duniani
BAADA ya kuwa kimya ulingoni tangu mwaka jana alipochapwa kwa TKO na Liam Smith nchini Uingereza, bondia Hassan Mwakinyo amefunguka kila kitu na kueleza mipango yake ijayo
Mwakinyo aliyewahi kuingia kwenye 20 bora ya dunia kwenye uzani wa super welter na namba moja nchini kwenye kila uzani ‘pound for pound’ ameporomoka kote na sasa ni wa pili nchini na wa 66 dunian
“Yote ni kwa sababu sijacheza muda mrefu, lakini siku si nyingi nitarudi kwenye nafasi yangu,” alisema Mwakinyo juzi alipozungumza na Mwanaspot
ALSO RE
Tiketi ya robo fainali Simba ipo hap
Michezo 1 hour ag
Mbrazili afichua sir
Michezo 1 hou
Bondia huyo mwenye nyota tatu alisema Aprili mwaka huu mashabiki wake watamwona tena ulingoni mjini Dodoma
“Nitacheza Dodoma na bondia kutoka nje ya nchi, naamini litakuwa ni pambano langu bora na kubwa litakalonirudisha kwenye renki. “Naendelea na mazoezi, niko fiti na naamini pambano hilo litanirudisha kwenye ubora,” alisem
Katikati ya mwaka jana, Mwakinyo alianza kuporomoka polepole hata baada ya pambano na Smith alilopoteza kwa Technical Knock Out (TKO) aliendelea kuporomoka mpaka sasa, matokeo hayo yakichangizwa na kutocheza muda mref
Mwananchi. Fikiri Tofaut
Tumekufikia. Mara kwa mara tunaangalia namna ya kuboresha habari zetu. Tufahamishe nini ulichopenda na nini tuboreshe
Sema nas
HABARI KU
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijiji
Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea..
Kitaifa Okt
Bei ya mafuta yazidi kushu
Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita
Kitaifa Okt
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya af
Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afy
Kitaifa Okt
AL
Promoted Link
You May Lik
Modular kitchen costs in Zanzibar might actually surprise yo
Modular Kitchen | Search Ad
Inside the jinxed Kenyatta University mall hosting China Squar
Top 15 At-Home Exercises to Lose Weight and Build Muscl
Lintmit.co
Yoweri Museveni names new Vice President in reshuffled cabine
Mwakinyo kavunja ukimy
ukmani Makongo
imakongoro@tz.nationmedia.c

0 Maoni