SIJABADILI DINI KISA MWANAMKE;
BARNABA CLASSIC. JAMANI NYIE NYIE 😪
Mwimbaji Staa wa Bongofleva Barnaba amekiri kuwa ni kweli alibadili dini kutoka kuwa Mkristo na sasa ni Muialamu lakini amesisitiza kwamba hajafanya hivyo kwa ajili ya shinikizo la mwanamke bali ni muamuzi yake binafsi.
Barnaba ambaye jina lake jipya kwa sasa ni Mohamed na akiwa amemchumbia mrembo aitwaye Raya ambaye pia ni Muialamu amesema......"Nilibadili dini kwa mapenzi yangu na siyo kama watu wanavyotafsiri na nilibadili mda mrefu kama miezi sita imepita lakini watu wamejua juzi tu".
"Mimi ni Bwana Mohamed na hakuna sababu yoyote ya kusema labda Ukristo haujaniridhisha au Uislamu ndio......hapana, Christian kwangu sawa, Islamic kwangu sawa lakini kwasasa mimi ni Muialamu"- amefunguka Barnaba.
Cc @roja_hb follow for infomation
0 Maoni