Faida unazoweza kuzipata kupitia midoli hii ya Elon Musk...
1. Haina UKIMWI wala UTI
2. Haiombi pesa
3. Haina gubu
4. Haichoki
5. Utamu mwingi
6. Haichepuki
7. Ina Face ID kwahiyo haiwezi kuingiliwa na mtu mwingine zaidi yako na pichani nd'o midoli hiyo ikiwa tayari kwa matumizi... Thamani yake inatajwa kuwa ni takribani shilingi million 7.9 za kitanzania kwa mdoli mmoja.
Una Maoni gani...?🙄
0 Maoni