MARIOO AJISHUSHA KWA MBOSSO...
Baada ya Msaniii Mbosso Ambae Kwa sasa Ana Trend na Wimbo wake #Amepotea kufunguka tofauti iliyopo kati yake na Msanii @marioo_tz kumtuhumu Msanii Huyo kuwa Huwa Anajaribu kumkwamisha Kila anapoachia Kazi yake Mpya na yeye anatoa Ngoma Ili kujaribu kumzima
Hatimaye Marioo amemuomba @mbosso_ wasameheane wayamalize wasimkaribishe shetani.
"Wewe ni Ndugu yangu Kirungi Sisi wote ni Wanadamu Tunatafuta Riziki, Tuna Muomba Mungu Hakuna Sababu ya Kugombana kama Kuna Session Yeyote imetokea Tusimkaribishe Shetani Tusaheane Ndugu Yangu Tuchape Kazi God Bless you" Amefunguka Marioo kwenye video aliyoweka Katika Instastory Yake
Mbosso alifunguka Kwa Uchungu yeye Huwa hatangulizi Kiki Katika Kazi zake na anapenda Kila Msanii afanye Kazi zake na Hapendi kukwamishana
Una Maoni Gani??
#LikeAndShare
0 Maoni