Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

MIMI NA DIAMOND TUPO VIZURI BABA DIAMOND AFUNGUKA


 "Mimi na Diamond Platnumz tuko vizuri, bado ni mwanangu yeye anaitwa Naseeb Abdul mimi naitwa mzee Abdul, tuko vizuri hadi familia yake ingawa kuna kipindi nilikasirika baada ya mama yake kuleta mambo ambayo hayakuwa ya kweli"


"Diamond na Queen Darleen wote ni watoto wangu, sina shida nao na hata nikiwa na shida hawawezi kunitupa"- Mzee Abdul.


Aidha Mzee Abdul amesema ameacha kuimba muziki kwasababu umri wake haumruhusu, ameshachelewa hata akisema aimbe vipi hataeleweka, lakini moja ya vipaji alivyojaliwa na Mungu ni kuimba na kuigiza na hata watu wa Tamthilia za Juakali, Huba, Pazia na nyinginezo wakimuita yupo tayari na atafanya vizuri.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement