PAULA ADAI KUTOLEWA USICHANA WAKE NA RAIVANY...
Baada ya Staa wa Muziki @rayvanny Kuonesha kutokupendezwa baada ya kutumika kwenye Reality Show ya @kajalafrida na Mtoto wake @therealpaulahkajala na kuwaambia wasitumie picha yake huku Mpenzi wake @fahyvanny kuingilia kati.
.
#Paula ameamua kuweka wazi kuwa Staa huyo wa Muziki ndio ambae amemtoa Usichana wake na anajuta kwani toka ameingia nae kwenye Mahusiano amemchafua kwenye jamii.
.
soma zaidi alichokiandka Paulla kwenye comment section
1 Maoni