Usiwe mpuuzi wa maisha. Hawa ni wasanii wanaishi kisanii kuingiza hela.
Wakionesha wanapendana wanatowa wimbo wa kupendana watu wanafatilia wakisema wataachana wengine wakibaliki mapenzi yao.
Wakiona imezoeleka wanaachana kilammoja anatengeneza wimbo wa kuachwa watu wanafatilia wakifurahia wengine wakisikitika.
Baadae kila mmoja akipata mwingine anatoa wimbo wa kumdisifia bwana mpya na kumponda wa zamani watu wanaendelea kushabikia wakizania ni maisha halisi kumbe ni njia ya kutoa nyimbo zikionekana na ujumbe kwa mtu kumbe ni ufinyu wa aidia na njia ya kuwateka wapumbavu nakuzidi kugonga hela.
Baadae wakirudiana wanatoa wimbo mwingine watu shangwe kama kawaida. Mwanamke akibeba mimba wanatoa wimbo wanapiga hela wambea mkiendelea kuzuzuka mitandaoni na MB zenu.
Wakisalitiana....... yaani yanakuwa maisha ya muvi muvi....
USIKUTE DIAMONDI ANAMKE WAKE NYUMBANI HAMJUI NA ZUCHU ANAMUME WAKE NYUMBANI KIMYA KIMYA HIZI NI SANAA ZA SANAA...
shituka... acha ujinga wa kupoteza muda wako kwenye comment na kuteseka na maisha ya watu.
Dunia ina mengi sana wenzio wanayatumikia hayo mengi wewe hauna jopya kukesha na simulako tu, fanya mambo ya msingi achana na umbea usio na kichwa wala miguu...
☝ Zakia Mpole Tz
Faridi Rashidi Zuberi
0 Maoni