Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

GAMOND KOCHA WA YANGA ATOA TAMKO HILI

#InfoSports Kocha mkuu wa klabu ya @yangsc Miguel Gamond Leo akizungumza na waandishi wa Habari kuelekea Mchezo wa marudiano wa ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya Al merreick amewahaidi Matokeo na mpira mzuri Wana yanga . "Ni hatua ya mwisho, tuna dakika tisini za kupambani kile ambacho tunakitaka. Kufuzu makundi ya ligi ya Mabingwa. Maandalizi yako vizuri, tulikuwa na muda wa kutosha wa kufanya maandalizi. Tumejianda kupambana na tuko tayari kucheza mchezo mzuri na kuwapa furaha wananchi". . Powered by @drney.seatcover & @weblinecomputer . Written by @sostenes55 . #RickMedia #EntertainmentChamber

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement