Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

AL MERREIKH WAIPA ONYO KALI YANGA KUELEKEA MCHEZO WAO

#InfoSports Kuelekea Mchezo Wa kesho Kati ya @yangasc Dhidi ya AL MERREIKH mchezo wa kutafuta tiketi ya Kufuzu hatua ya Makundi ya ligi ya Mabingwa barani Afrika kocha mkuu ameeleza ugumu wa mchezo huo, huku akikiri kuwa yanga ni timu ngumu Na wako kwenye ubora kwa Sasa, lakini pia Kocha huyo amesema haogopi Kama Mashabiki watajaa uwanjani kwani hawawezi kubadilisha chochote kwa upande wao "Mimi na wachezaji wangu tumeshacheza mara nyingi michezo mikubwa Kama hii na mbele ya mashabiki wengi, kwangu Mimi sioni Kama ni tatizo uwanja kujaa , wachezaji WA Al merreikh ni wazoefu sana wameahacheza na Al Ahly , Esperance na hata Zamaleck , na wakawa na mchezo mzuri kwaio Mashabiki kwetu sisi ni kawaida na hawawezi kubadilisha chochote". . Powered by @drney.seatcover & @weblinecomputer . Written by @sostenes55 . #RickMedia #EntertainmentChamber

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement