Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

KIWANJA KITAKACHO CHEZA AFCON 2027 TANZANIA HIKI HAPA

Mwonekano wa uwanja mpya wa Arusha utakaojengwa na serikali jijini Arusha ikiwa sehemu ya maandalizi ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 ikishirikiana na Kenya na Uganda. Uwanja huo utakaojengwa katika Kata ya Olmoti utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki 30,000 waliokaa

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement