#ETREANDIG: C.E.O wa #kondegang @harmonize_tz Ametangaza kuachia Ngoma Mpya Usiku wa Leo baada ya ukimya wa Muda kidogo wimbo huo Unaitwa #sijalewa kumbuka Neno Hilo #harmo Amekuwa akilitumia kwenye Matukio Mbali mbali na hiv Sasa Analitolea wimbo #wimbo huo utatoka
SAA za Tanzania 12:30am
#likecomentshereandfollow_____________________________
0 Maoni