#ETREANDIG:Staa wa Muziki wa Bongo fleva Rayvanny amekuwa msanii wa pili Tanzania kupata Views Bilioni 1 kwenye Mtandao wa YouTube
.
Hii ni jumla ya watazamaji waliotazama maudhui yote kwenye channel ya YouTube ya #Rayvanny. Msanii wa kwanza kufikisha Bilioni moja Tanzania alikuwa #Diamondplatnumz
.
#likecomentshereandfollow_____________________________
0 Maoni