Ungekuwa na kamwili, ungelinga sana ndio maana Mungu aliona akunyime loooo !
Yani ninyi watu msio na mili, huwa mnajiona sana ndio maana mna mili kama mifupa ndio mligawiwa kwani uwongo na ndio sababu mna roho mbaya
Ila mimi hata sina roho mbaya, nakupa maelekezo jinsi unaweza kutumia hii mix na ukapata kimwili angalau maana unakamwili utadhani una UTI sugu loooo
Kachukua mayai ya kienyeji
- Maziwa mazito ( yani kama hauna maziwa mazito chukua maziwa ya unga + mix na blue bend ) na karanga sasa fanya haya
- Chukua mayai 3 pasua hata usiyapike, mix na maziwa mazito yenye mix na maziwa unga, karanga na blue band koroga mix hadi iwe uji uji hivi laini
Aya kila asubh,
Na jioni kunywa afu nakupa siku 14 utaona wewe mwenyewe, mimi sina hata haja ya kukuambia, nikitoa dawa yani ni dawa ya uhakika sina mbamba kabisa.
0 Maoni