Nataka nikuelekeze dawa hii
Wewe ambaye umetumia dawa kutoa chunusi bila mafanikio,
Umetumia vipodozi chungu nzima bila mafanikio mwili ukaharibiwa na vipodozu FAKE
Nenda kachume majani ya Mwarobaini nitakuomba uyapondeponde upate kama msago wa kisamvu unavyokaa.
Chukua huo, mchanganyo jisugue kama unapaka scrub usoni mwili mzima nitaomba uwe unaacha kama dakika 30 ndio unaoshea maji vuguvugu.
Nenda kafanye hivi,
Njoo na majibu umeona nini kwa ngozi yako.
#kenya
#rwandaupdates
#UgandaNews
0 Maoni