#ETrending Staa #Kajala amefunguka kwa sasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambae sio Maarufu kwa sababu hakutaka tena mtu maarufu kwani ameshamalizana na hayo mambo.
.
Usiku wa jana yeye pamoja na mwanae #Paula walizindua duka lao la nguo,Wakati akifanyiwa mahojiano na Waandishi wa Habari #Kajala alisema....
"Sikutaka mtu anaejulikana kwa sababu nimeshamalizana na hayo mambo , Nilitaka mtu ambae nitamujua mimi na familia yangu, Alinifuata mwenyewe mimi sijawahi kufuata mwanaume ni Mwanaume niliekuwa namuhitaji na ni mtu sahihi kwangu kwa sababu kwanza anamcha Mungu"
.
Mbali na hivyo #Kajala alifunguka kuwa hivi karibuni mashabiki zake watarajiwe Ndoa.
.
Powered by @weblinecomputer
.
written by @lanka_ting
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
0 Maoni