Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

DIAMOND ATOA SABABU ZA KUTOSAFIRI NA DYLAN

#ETREANDIG:Staa wa muziki wa Bongo fleva #DiamondPlatnumz wakati yupo Nchini Kenya akihojiwa na Waandishi wa Habari aliweka sababu za kutosafiri na Mtoto wake #Dylan aliezaa na Mrembo #HamisaMobetto kwenda nae Nchini Rwanda kwenye Tuzo za #Trace kama alivyosafiri na watoto wake wengine. . Baada ya swali Staa huyo alijibu.... "Sio kila sehemu ni vyema kwenda na watoto ndio maana hapa nimekuja pekeyangu muda mwingine unatakiwa uwaache watoto wakisoma Rwanda nilienda nao lakini sio kila sehemu,Wale watoto ni wadogo wapo shule nikienda nao kila sehemu nitawaaribu bado ni wadogo" . Una Maoni gani kwenye hili? .

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement