Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

ALIKIBA: ATOA SABABU KWANINI HAZEEKI HARAKA LICHA YA UMRI KUSONGA

Staa wa Muziki wa Bongo fleva Alikiba leo November 29 /2023 Anasherekea Birthday yake Ambapo kwa hivi Sasa staa huyo Anatimiza Miaka 37 Miongoni mwa maswali alioulizwa Alikiba na shabiki zake baada ya kuingia instaa live Ni "kwa Nini hazeke haraka Wakati Umri wake Ni mkubwa?? Alikiba Amejibu kuwa vitu ambayo vinanifanya Ni sizeeke kwanza mm Ni Mtu wa Mazoezi ,Mimi situmi au sili nyama nyekundu lakini pia sinywi pombe ndio Maana mnaniona hivi ""Amesema ALIKIBA

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement