Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

HARMONIZE AFIKISHA VIEWERS BILIONI MOJA YOUTUBE

#ETEANDING:staa wa Muziki wa Bongo fleva @harmonize_tz Amefikisha jumla ya watazamaji Bilioni moja/views kwenye YouTube channel yake views hao ni jumla ya vedeo zote (total) alizo upload kwenye Mtandao huo wa YouTube , kumbuka Harmonize alijunga YouTube Mnamo 19/October/2015 huku Akiwa amepakia vedeo 914 Hadi Sasa #congtrat @harmonize_tz🔥

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement