#ETREANDIG: Mchezaji wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ufaransa #aurelientchm ameuchagua wimbo wa @harmonize_tz #SingleAgain kama wimbo wake pendwa wa Afro beat muda wote
.
@aurelientchm Amethibitisha hayo Wakati akijibu maswali kupitia insta story yake amemjibu shabiki kupitia Instastory ambapo shabiki huyo alitaka kufahamu wimbo pendwa Afro beat kutoka kwa mchezaji huyo ndipo @aurelientchm akauchagua wimbo wa Single Again wa @harmonize_tz
#likecomentshare
#RJNEWS
0 Maoni