Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

MICHAEL JACKSON MSANI MAREHEMU TAJIRI DUNIANI

#ETrending Mfalme wa Pop Duniani #MichaelJackson ametajwa na Jarida la Forbes kuwa ndiye staa marehemu anayeingiza pesa nyingi zaidi duniani. . Kwa mujibu wa Forbes MJ ameingiza zaidi ya Dolla Milioni 115 ambazo ni zaidi ya Bilioni 280 za Kitanzani kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi Septemba 2023. . Mastaa wengine walioingia kwenye orodha hiyo ni pamoja na 1. Michael Jackson – $115 million 2. Elvis Presley – $100 million 3. Ray Manzarek – $45 million 4. Dr. Seuss – $40 million 5. Charles M. Schulz – $30 million 6. Prince – $30 million 7. Whitney Houston – $30 million 8. John Lennon – $22 million 9. Bob Marley – $16 million 10. Bing Crosby – $14 million 11. George Harrison – $14 million 12. Arnold Palmer – $10 million 13. Marilyn Monroe – $10 million

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement