#ETREANDIG:Staa wa muziki #Harmonize ameshare Top 20 ya ngoma za afrika zilizopenya zaidi kwenye mtandao #SpotifyAfrica ambapo ngoma yake ya #SingleAgain ni moja ya ngoma zilizo kwenda Viral na kusema kuwa bado anaendelea kuwakilisha Game ya Afrika mashariki.
.
Mbali na hivyo Staa huyo amefunguka kuwa sio mtu anaependa kushare post hizo lakini muda mwingine inammbidi afanye hivyo ili kuonesha kuwa afrika mashariki pia ipo kwenye ramani kwani hakuna mwingine atakae weza kushare kwa sababu ngoma yake tu ndio ipo.
.
0 Maoni