#ETREANDIG:@harmonize_tz Ameandika haya kupitia insta story yake Kuhusu Sanamu lilopo jijini Dar_es Salam Maeneo ya Posta ✍️✍️
Imekuchukuwa Muda gani kujuwa kwamba Yule Mwanajeshi Unaemuona kila siku pale posta Mnalani Ni Mimi😬?? kesho hakikisha Unalisogelea lile sanam Liangalie vizuri Kama umeshindwa kuzoom Usoni Hiyo Cover Ya #visitbongo💿
0 Maoni