Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

D VOICE: NI KAMA LAVALAVA W.C.B MASHABIKI WAMVA DIAMOND PLATNUMZ

#ETEANDIG:Ni Takrbani week Moja na Nusu Sasa Tangu Msani Mwenye miondoko ya singeli D voice kutambulishwa kwenye lebo ya WASAFI na diamond Platnumz Sasa zimepita Licha ya jitihada kubwa kufanywa na diamond kwajili ya kumpromote Msani huyo lakini bado Hadi Sasa ngoma zake hazisikik mitaani ,si kawaida kwa Msani kutambulishwa kwenye lebo hio Kisha asifanye vizuri hii inakuwa ndio Mara ya kwanza Matukio Mbali mbali yametekenezwa kwajili ya kumpromote lakini imeshindikana Hii inaonesha kuwa Msani huyu Amebuma wengine wanaenda mbali Zaid na kusema Ni kama lava lava tu pale WASAFI kaenda kutia Hasara lebo. Je ww una Maoni gani???

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement