Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

ABIGAIL CHAMS SIJAWAHI KUFANYA MAPENZI TANGU NIZALIWE

#ETrending Mwanamuziki #AbigailChams amefunguka kuwa hajawahi kuwa kwenye mahusiano wala kufanya mapenzi hadi kufikia hivi sasa . Abigail amefunguka hayo kupitia kipindi cha Xxl cha Clouds Fm. Abigail amenukuliwa akisema kuwa "Sijawahi kufanya mapenzi na ni kitu cha kawaida kwa sababu unatakiwa kufanya mapenzi na mtu unayempenda na mimi bado sijakutana na mtu ninayempenda" . #LikeFollowShare#Rjnews

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement