Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

CHRISTINA SHUSHO MIMI NA DIAMOND NI NDUGU

#HABARI:
Christina Shusho - "Mimi na Diamond Platnumz ni marafiki sana, tunaongea sana yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwasababu wote tunatoka Kigoma" "Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa" Mwanamuziki huyo maarufu wa injili kutoka Tanzania, kwa upande mwingine amepata mapokezi makubwa nchini Congo alikoenda kikazi wiki hii kwa mujibu wa videos za matukio zilizosambaa mitandaoni

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement