Timu ya ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania Twiga Stars imefaniikiwa kuitoa Timu ya Wanawake ya Ivory na kusonga mbele katika safari yake ya Kufuzu #WAFCON2024 na itakutana na mshindi kati ya Togo au Djibouti.
FT::Twiga Stars 🇹🇿 2️⃣ ➖0️⃣ 🇨🇮 Ivory coast
(Agg 2-2) Penalty (4-2)
⚽Donisia
⚽Opah clement
0 Maoni