Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

NAIRA MARLY AKANUSHA KUHUSIKA NA KIFO CHA #MOHBAD

#ETrending Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria #NAIRAMARLEY ametoa Tamko kuhusu kashfa za kuhusika na kifo cha aliekuwa Msanii wake Marehemu #Mohbad, Katika Taarifa hiyo #NairaMarley amesema kuwa hakuepo Nchini Nigeria tangu Augosti ,23,2023. . Katika Taarifa hiyo #NairaMarley amekiri kuwa alikuwa na Bifu na Marehemu #Mohbad lakini mambo yao walikuwa wakiyamaliza Kisheria na kuahidi kuwa hivi karibuni anampango wa kurudi Nchini humo kwa ajili ya kulisaidia jeshi la Polisi kuchunguza kifo cha msanii huyo. . .
.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement