#InfoSports Baada ya Kuchaguliwa kuandaa michuano ya AFCON 2027 kwa Tanzania, Kenya na Uganda maana yake Nchi hizo tayari zimefuzu Moja kwa moja kwenye michuano hiyo mikubwa Africa kwa kigezo Cha wenyeji
Serikali ya Tanzania kupitia kwa katibu mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa imesema kuwa itajenga viwanja (2) vipya katika jiji la Dodoma na Arusha ambavyo vitakuwa na uwezo wa kila kiwanja kuingiza watazamaji elfu (30).
in
Pia watakarabati viwanja vingine vilivyopo Dodoma, Zanzibar na Arusha kwa ajili ya kufanyia mazoezi wakati wa michuano ya AFCON itakayofanyika mwaka 2027.
.
Powered by @drney.seatcover & @weblinecomputer
.
Written by @sostenes55
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
0 Maoni