#ETREANDIG: Muigizaji Filamu Anaefanya vizuri kwa Sasa kwenye upande wa series ,comedy Ridhwani Juma Maarufu @clam Wamenusirika kifo na Wenzake baada ya kupata ajali ya gari Walipokuwa wakisafiri kuelekea mkoa Mwingine Hata hivyo Clam VEVO Amethibitisha kuwa Hakuna Aliyeumia Wala kupoteza Maisha kilicho haribika zaidi Ni Gari ila watu wote Wapo salama Amesema CLAM VEVO. #Mpe neno Moja la pole
0 Maoni