Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

SIJALIPWA MIEZI NANE MAISHA YANGU MAGUMU SANA: IBRAAH

#ETREANDIG:@ibraah_tz Ameshare nasi Situation anayopitia kwenye Sana yake ya Muziki #Chinga Amfunguka haya "Ni kweli hali yangu siyo nzuri kimaisha na kimuziki kwasababu nafanya kazi lakini silipwi pesa zangu, ni miezi nane sasa hivi Ziiki hawajanilipa na uongozi wangu uko kibiashara zaidi ndiyo maana nimekaa miezi sita bila kutoa wimbo kwasababu nyimbo nilizotoa hazirejeshi mapato hii inafanya maisha yangu yazidi kuwa magumu" Vile vile @ibraah_tz Amefunguka swala la kutokuonekn katika matamasha ya show pamoja na kutokupata ubalozi katika makampuni " Watu wamekuwa hawanioni kwenye show kwasababu mapromota wanashindwa kufikia dau langu, mimi ni Expensive sana lazima nilipwe pesa nyingi ndiyo maana hata kwenye ubalozi wa makampuni hamnioni, watu wengi wananishindwa kutokana na gharama zangu kuwa Expensive"- Ibraah

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement