#InfoSocial Takriban watu 100 wamefariki na wengine 150 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka kwenye harusi kaskazini mwa lraq, vyombo vya habari na vya serikali vimeripoti.
.
Bibi harusi na bwana harusi wanaripotiwa kuwa miongoni mwa waathiriwa, kulingana na Taarifa Moto huo ulitokea katika wilaya ya Al-Hamdaniya katika mkoa wa Nineveh kaskazini mwa Irag jioni ya Jumanne.
.
Bado haijabainika kilichosababisha moto huo, lakini ripoti za mapema zinasema kuwa ulizuka baada ya fataki kuwashwa.
.
Powered by @drney.seatcover & @weblinecomputer
.
written by @_swishy___
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
0 Maoni