#InfoSports Mshambuliaji wa klabu ya Napoli Victor Osimhen amepanga kuichukulia
hatua za kisheria klabu yake ya Napoli baada ya kuoneshwa vitendo vinavyo ashiria ubaguzi.
.
Hatua hiyo inakujia baada ya klabu hiyo kupakia video kwenye mtandao wa Tiktok ikionesha kumkashifu Osimhen baada ya kukosa penati kwenye mchezo wa ligi kuu Italia dhidi ya bologna mchezo ambao ulipigwa jumapii tarehe 24 mwezi huu wa tisa. victor alikosa penati dakika ya 72.
.
Kupitia mtandao wa X wakala wake Robeto calenda alinukuliwa akisema....
"kilichotokea leo kwenye mtandao rasmi wa Ticktock wa Napoli hakikubaliki, ilipakuliwa video ya kumkashifu Victor lakini sasa imefutwa. tunadhamiria kuchukua hatua za kisheria kwaajili ya kumlinda victor na mambo ambayo hayakubaliki.
.
Powered by @drney.seatcover & @weblinecomputer
.
written by @sostenes55
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
0 Maoni