Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

MESSI MCHEZAJI BORA WA DUNIA 2023

#SPORTUPDATE::Staa wa Inter Miami na Timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi amefanikiwa kumshinda Erling na kushinda tuzo yake ya nane ya Mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or. Messi amewahi kuchukua Ballon d’Or katika miaka 2009, 2010, 2011, 2012, 2015, 2019 na 2021.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement