#ETrending CEO wa lebo ya Muziki ya #WCB, #DiamondPlatnumz ametangaza kuwa itakapofika Novemba 16/17 lebo hiyo itatambulisha Msanii mpya.
.
Staa huyo amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa X kwa kuandika..
....
"Nov 16th / 17th 2023, we introduce A new SUPER STAR, New WCB WASAFI Artist!!! We Officially start the Unveil Countdown from Tomorrow! #Wcb4Life #Wasafi"
.
.
.
0 Maoni