Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

NILIKUWA NAIBIWA WANAWAKE KISA PESA :DIAMOND PLATNUMZ

#ETREANDIG: Staa wa muziki #DiamondPlatnumz ametamba kuwa kwa sasa hakuna mtu wa kumuibia Mwanamke kama mwanzo kwani mwanzo alikuwa hana pesa wala muonekanol wa sura. . Akiwa kwenye Stage ya #WasafiFestival Kahama Staa huyo alisema... "Niwaambie kitu wanangu matatizo kama haya ya mademu kuchukuliwa yanatokanaga kwa sasabu sisi tunakuwa tunapambana kwahiyo akija mtu mwenye hela anachukua demu, Me wameshanichukulia sana mademu zangu alafu ukiangalia sina hela wana muonekano ndio maana niikapambana mpaka sasahivi hakuna anaeweza kunichukulia demu wangu yani mtu akigusa demu wangu anakutana Ni Simba la Masimba Dangote" . Neno moja kwa #Diamond .

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement