Ticker

6/recent/ticker-posts

Adsterra ad

HARMONIZE ATANGAZA VITA NA WASANI WA BONGO FLEVA

#ETREANDIG:staa wa Muziki Harmonize Kwenye Moja ya Mahojiano Amefunguka kuwa Kuna vitu vikubwa vitakwenda kuonekana kuongezeka kwenye Mziki wa Bongo fleva Mwishoni Mwa Mwaka huu Kwani hata yeye hajiamini kwamba Amefanya vitu hivyo #konde pia Amegusia swala la Msani wake ibraah kuusu kutokutowa nyimbo Amesema , digital platform za ibraah zilikuwa na tatzo ndio Maana hakuwa anachia Ngoma Sasa hivi kila kitu kipo sawa Ndio Maana nimemuachia huu Mwezi atambe Achie Magòma yakutosha ili ikifika Mwisho wa huu Mwaka nije Kumalizana Nao mm Amesema @harmonize_tz

Chapisha Maoni

0 Maoni

Ad Code

Responsive Advertisement