#ETREANDIG: Mwana muziki kutoka Nchini Nigeria #OmahLay kwenye moja ya mahojiano yake ya hivi karibuni na #WunMibello alifunguka kuwa toka aanze kushika pesa amebadilika na kuacha kuamini kabisa maswala ya Dini.
.
#OmahLay alisema...
"Nahisi toka nianze kutengeneza Pesa nimebadilika sijui nimekuwa nikimuamini Mungu sana na kumuheshimu lakini nimekuwa sio mtu wa kuamini tena mambo ya Dini, Ni mimi na Mungu tu kwa sababu sijui chochote hata hivi vitabu vya Dini najua ni vya kweli lakini ni vitabu ambavyo siamini kama vimeandikwa na Mungu"
.
Mbali na hivyo Staa huyo alisema kuwa alikuzwa kwenye mazingira ya Dini ya Kikristo lakini badae alibadili Dini na kuwa Muislamu.
Tembelea website yetu 👇👇
https://karatasiv.blogspot.
#likecomentshereandfollow_____________________________
0 Maoni